Tuesday 2 August 2016

JUVENTUS: CLAUDIO MARCHISIO NJE MPAKA DECEMBER NA SASA JUVE WANASAKA MTU WA KUSAIDIA KATI


Claudio Marchisio atakuwa nje mbaka december kutokana na kuumia goti katika mechi dhidi ya Palermo...Baadae alifanyiwa operation lakini itakuchua muda mbaka kifaa hicho cha kati kitapona na sasa Juve wako mbioni kuziba pengo hilo...Kutokana na issue kuwa Pogba anasepa na Sami Khedira hayuko vizuri sana Juve wanamsaka sana Axel Witsel kutoka Zenit Saint Petersburg...

Axel Witsel
Axel alikataa offer ya Euro milioni 30 kwenda Everton lakini offer ya Juve ya Euro milioni 18 inaweza kukubaliwa kwani Axel ameonyesha nia ya kucheza na Juve...Bofya hapa upate habaro zaidi.

No comments:

Post a Comment