Sunday 7 August 2016

COMMUNITY SHIELD 2016: MANCHESTER UNITED YABEBA NGAO YA HISANI


Manchester United wameshinda ngao ya hisani mwaka huudhidi ya Leicester City....Man U walifanikiwa kushinda 2-1 na kifaa kipya cha United Zlatan Ibrahimovic ndio aliwapa bao la ushindi...Ni ushindi muhimu sana kwa Jose Mourinho kwani amerudi United kuisaidia irudi kuwa timu ya ushindi...Toka Sir. Alex Furgeson aondoke Man United imekuwa timu hafifu sana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment