Thursday 4 August 2016

AFRICAN YOUTH CHAMPIONCHIP 2017: SERENGETI BOYS WAINGIA SOUTH AFRICA TAYARI KUCHUANA NA AMAJIMBOS



Serengeti Boys wamazama South Africa kukutana na Amajimbos Jumamosi...Serengeti boys wanatokea Antananarivo Madagascar ambapo walipata ushindi wa mabao 2-0 huko na sasa inabidi wawafunge Amajimbos ili waweze kuingia round ya 3...Baada ya game ya Jumamosi watarudiana hapa nyumbani ndani ya Azam Complex baada ya wiki mbili...


Serengeti boys walipata nafasi ya kucheza na Amajimbos baada ya kuwagaragaza vibaya saya Seychelles kwa aggragate ya 9-0...Bofya hapa ypate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment