Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Sunday, 10 July 2016
F1: LEWIS HAMILTON AWEKA HISTORIA MPYA SILVERSTONE
Lewis Hamilton ameweka historia mpya huko Silverstone England kwa kuwa mtu wa kwanza kuchukua nafasi ya kwanza mara 4 wakati wa qualification (pole position)...Leo Lewis ataanza mbele ya grid akijaribu kushinda nyumbani...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment