Tuesday 1 March 2016

KILI MARATHON: WAKENYA WAONGOZA MBIO NDEFU ZA KILIMANJARO INTERNATIONAL MARATHON


Wakenya wamefanya vizuri katika Kilimanjaro International Marathon weekend hii iliyopita na kuwaacha wenzao wa TZ nyuma...Nafasi ya kwanza ya kilometer 21 alinyakua Alice Kibor na kilometer 42 alinyakua Kemboi Mathew akifuatiwa na Keneth Ronoh nafasi ya 2...Watanzania walimaliza nafasi ya 6 na 8 na walikuwa Sigiarid Ngolly na Angel Joseph...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment