Saturday, 5 March 2016
AFRICA WOMEN CUP OF NATIONS 2016: TWIGA STARS YACHAPWA NA WARRIORS
Twiga Stars wamelala mechi ya kwanza ya qualification ya michuano ya mataifa ya Africa ya wanawake...Katika mechi Kali iliyofanyika katika viwanja vya Azam Complex huko Chamazi Twiga walichapwa 2-1 na Mighty Warriors na kuharibu kabisa ndoto yao yakusonga mbele...Bao la Twiga lilitoka kwa Mwanahamisi Omary na kwa upande wa Warriors Erina Jeke...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment