Friday, 4 December 2015
QPR: JIMMY FLOYD HASSELBAINK KUWA KOCHA MPYA QPR
Jimmy Floyd Hasselbaink ni mchezaji wa zamani wa Netherlands na pia aliwahi kuichezea Leeds United, Atletico Madrid na Chelsea...Kocha wa muda wa QPR Neil Warnok alisema Jimmy amechaguliwa kuwa kocha wa QPR baada ya kushinda mechi dhidi ya Reading...Reading walishinda dakika za mwisho baada ya kipa kufanya makosa na Onuhoa kupachika bao...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment