Wednesday, 16 December 2015
BOXING: CHISORA ATAKA KUZICHAPA NA ANTHONY JOSHUA APRIL
Dereck Chisora yuko tayari kuingia ulingoni na Anthony Joshua mwezi wa 4...Chisora ametoka kumtwanga Javok Gospic na yuko tayari kumkabili Joshua...Chisora anataka mikanda ya Joshua ya Uingereza na Commonwealth...
Kambi ya Chisora imesema wameshaongea na kambi ya Anthony Joshua kuwa pambano lifanyike ndani ya O2 Arena tarehe 9 April...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment