Friday, 21 August 2015
TAIFA STARS: TIMU YA TAIFA KUINGIA UTURUKI JUMAPILI
Taifa Stars itaondoka Jumapilikwenda Uturuki kujiandaa na michuano ya awali ya kufuzu ya AFCON 2017...Timu haitosimama Muscat na itaenda moja kwa moja Istanbul kuweka kambi ya siku 8...Huko Istanbul watacheza na Libya na Kuwait chini ya kocha Charles Boniface Mkwasa...Taifa Stars wanatarajiwa kukutana na Nigeria Septemba 5...Bofya hapa upatebahari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment