Pages
HOME
TOP PODCASTS
DOCUMENTARIES
MARTIAL ARTS
BOXING
MOTOR SPORTS
ARTIFICIAL INTELLIGENCE (AI) & SPORTS
Tuesday, 2 December 2014
FIFA: LIST YA BALLON D'OR IMETOKA
List ya wachezaji bora wa 3 wa soccer duniani imetolewa na Fifa...Kati ya watu 23 waliokuwa wanawania nafasi hiyo sasa Fifa imetoa majina 3...
Lionel Messi
,
Cristiano Ronaldo
na
Manuel Neuer
kwa upande wa wanaume na kwa upande wa wanawake
Nadine Kessler
kutoka Germany,
Marta
kutoka Brazil na
Abby Wambach
kutoka USA...Mshindi atatangawa tarehe 12 mwezi January 2015...
Bofya hapa upate habari zaidi.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment