Premiership inaendelea leo baada ya kuwa na michuano ya mechi kibao za Ulaya na ukizingatia zimebakia wiki 3 tu dirisha dogo la usajili lifunguliwe timu sasa ziko kwenye mkakati wa kuimarisha vikosi vyao...Mikakati hiyo inamhusu Paul Pogba star wa Juventus ambae anatafutwa sana na Arsenal na Manchestr City...Dau pa Pogba ni milioni 40 pounds sasa tusubiri nani ataweza kunyakua hichi kifa kutoka Juve...Bofya hapa upate habari zaidi kuhusu transfers.
Saturday, 13 December 2014
EPL: POGBA AGOMBANIWA NA ARSENAL NA MAN CITY
Premiership inaendelea leo baada ya kuwa na michuano ya mechi kibao za Ulaya na ukizingatia zimebakia wiki 3 tu dirisha dogo la usajili lifunguliwe timu sasa ziko kwenye mkakati wa kuimarisha vikosi vyao...Mikakati hiyo inamhusu Paul Pogba star wa Juventus ambae anatafutwa sana na Arsenal na Manchestr City...Dau pa Pogba ni milioni 40 pounds sasa tusubiri nani ataweza kunyakua hichi kifa kutoka Juve...Bofya hapa upate habari zaidi kuhusu transfers.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment