Kobe Bryant ameingia katika kundi la wachezaji wa wenye points nyingi sana...Ingawa Kobe ni kati ya wachezaji hodari sana katika NBA sasa ameingia kundi moja na Michael Jordan, Karl Malone na Kareem Abdul-Jabbar wenye points zaidi ya 32,000...Kobe alifika huko kwenye game yao dhidi ya Atlanta Hawks ambayo walishinda 114-109 na alipata points 28...Sasa Kobe ni wa 4 all-time goal scorer...Safi sana Kobe...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 19 November 2014
NBA: KOBE BRYANT APITA POINTS 32,000
Kobe Bryant ameingia katika kundi la wachezaji wa wenye points nyingi sana...Ingawa Kobe ni kati ya wachezaji hodari sana katika NBA sasa ameingia kundi moja na Michael Jordan, Karl Malone na Kareem Abdul-Jabbar wenye points zaidi ya 32,000...Kobe alifika huko kwenye game yao dhidi ya Atlanta Hawks ambayo walishinda 114-109 na alipata points 28...Sasa Kobe ni wa 4 all-time goal scorer...Safi sana Kobe...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment