Majina ya wachezaji hodari kutoka Africa yametoka tayari kwa kushindana kupata taji la mchezaji bora Africa...Yaya Toure yuko ndani ya list kwa mara ya 6 mfululizo akiwa pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang, Vincent Enyeama, Gervinho na Yacine Brahimi...Mshindi atachaguliwa kwa kura za mashabiki ambazo mwisho ni Jumatatu, November 24 na mshindi kutangazwa December 1...Unaweza ukapiga kura mtandaoni hapa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 12 November 2014
BBC AFRICAN FOOTBALLER OF THE YEAR 2014: MAJINA YAMETOKA
Majina ya wachezaji hodari kutoka Africa yametoka tayari kwa kushindana kupata taji la mchezaji bora Africa...Yaya Toure yuko ndani ya list kwa mara ya 6 mfululizo akiwa pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang, Vincent Enyeama, Gervinho na Yacine Brahimi...Mshindi atachaguliwa kwa kura za mashabiki ambazo mwisho ni Jumatatu, November 24 na mshindi kutangazwa December 1...Unaweza ukapiga kura mtandaoni hapa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment