Thursday, 23 April 2015

BOXING: MKANDA WA PAMBANO LA MAYWEATHER NA PAC-MAN UNAGHARAMA YA DOLA MILIONI 1


World Boxing Council (WBC) wamezindua mkanda wa pambano kali kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao tarehe 2 May huko Las Vegas Marekani...Rais wa WBC Maurusio Sulaiman akiwa na mabingwa wa zamani wa boxing Larry Home na Adonis Stevenson walizindua mkanda huo wenye gharama ya dola milioni 1...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 21 April 2015

ADIDAS PRIMEKNIT 2.0: SUAREZ NA WENGINE WACHACHE WATATINGA NA BUTI MPYA KABISA KUTOKA ADIDAS


Adidas wamtoa kifaa kipya kabisa chenye imahiri wa hali ya juu kabisa ambachi kina jina la Adidas primeknit 2.0...


Miongoni mwa wachezaji watakaovaa buti mpya leo kwenye mechi za Champions League ni Luis Suarez wa Barcelona, Lucas Moura na Ezequiel Lavezzi wa PSG...


Wengine ni Fabinho wa Monaco, Fernando Torres wa Atletico Madrid, Juan Bernat wa Bayern Munich, na Alvaro Morata wa Juventus...


Bofya hapa upate habari zaidi.

BOSTON MARATHON: WAAFRIKA WAFANYA KWELI BOSTON MARATHON


Boston Marathon ya mwaka huu kwa upande wa wanaume Lelisa Desisa kutoka Ethiopia na upande wa wanawake Caroline Rotich kutoka kenya wameibuka na ushindi jijini Boston...Desisa alikuwa mshindi mwaka jana masaa mawili tu kabla ya bomu kulipuka huko Boston...Desisa alitumia muda wa 2:09:17 na alivuka mstari wa ushindi dakika 30 mbele ya Yamane Adhane Tsegay....


Rotich alitumia muda wa 2:24:55 na alifukuzana mwishoni na Mare Dibaba mpaka akashinda...Waafrika walichukua nafasi nzuri kwenye top 10 za mashindan yote...Bofya hapa upate habari zaidi.

NBA: JIMMY BUTLER APATA CAREER HIGH NYINGINE NA KUISAIDIA BULLS USHINDI MWINGINE


Jimmy Butler amepata points 31 ambazo hajawahi kupata kwenye playoffs katika game yao ya 2 dhidi ya Milwaukee Bucks...Game ya kwanza alipata points 25 na sasa ameongeza mpaka 31 na points 14 kati ya hizo zilitoka kipindi cha 4...Derrick Rose nae alipata points 15 na zote zilitoka kipindi cha 2 wakati Paul Gasol akiata points 11 na rebounds 16...Game ya 3 itakuwa Alhamisi usikose...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 20 April 2015

CHAMPIONS LEAGUE: SCHEDULE (GMT)

TUE 21 APR 2015 - CHAMPIONS LEAGUE
  • BarcelonavParis St G
    (agg 3 - 1)
    19:45
  • Bayern MunvFC Porto
    (agg 1 - 3)
    19:45
WED 22 APR 2015 - CHAMPIONS LEAGUE

FA CUP: ASTON VILLA NDANI YA FAINALI ZA FA CUP NA ARSENAL


Tim Sherwood na timu yake imefanikiwa kuwatoa Liverpool na kumnyima Steve Gerrard nafasi ya kuchukua kombe la FA...Aston Villa ilitoka nyuma na kushinda mabao 2-1 na kupata nafasi ya kucheza na Arsenal kwenye fainali ya kombe la FA May 30...Baada ya Michael Oliver kumaliza mchezo Tim Sherwood alikimbia kwa furaha sana upande wa Villa...

Aston Villa hawajawahi kufika FA Cup finals toka 2000 na hawajawahi kushinda toka 1957 kwahiyo wana nafasi ya kubadilisha vitabu vya historia...Bofya hapa upate habari zaidi.

MONTE CARLO MASTERS 2015: NOVAK DJOKOVIC BINGWA


Bingwa wa dunia Novak Djokovic ameshinda Masters yake ya 3 mfululizo mwaka huu na kuwa mtu wa kwanza kufanya hivyo...Novak alimchapa namba 6 duniani Tomas Berdych 7-5 4-6 6-3 na sasa anaitolea macho French open itayoanza mwezi ujao...Bofya hapa upate habari zaidi.

YANGA: KOCHA ALALAMIKIA RATIBA YA MECHI CHANZO CHA DRAW

Kikosi cha Yanga (Picha:Shaffih Dauda)
Benchi la ufundi la Yanga ambalo kocha msaidizi Boniface"Master" Mkwasa ni mshauri amesema ratiba ya mechi za ligi ya nyumbani ni sababu mojawapo Yanga ilitoka draw ya Etoile du Saleh ya Tunisia...Mechi iliisha 1-1 na Yanga wanahitaji ushindi wa mabao 2 au draw ya 2-2 ili waweze kusonga mbele...

Bagdad akihangaika kumtoka Twite na Tambwe
(Picha: Othman Michuzi)
Mechi hiyo ya marudiano itafanyika baada ya wiki 2 na Yanga wana mechi nyingi hapo katikati kabla ya safari yao ya kwenda Tunisia...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 19 April 2015

F1: LEWIS HAMILTON ASHINDA BAHRAIN GP


Lewis Hamilton ameshinda Bahrain GP dakika chache zilizopita...Lewis alifuatiwa na dereva mkongwe Kimi Raikkonen ambae yuko na team Ferrari na wa 3 alikuwa Nico Rosberg wa Mercedes...Hamilton alianza kwenye nafasi ya pole alipita kona za mwanzo vizuri lakini mwishoni brake zake zilikuwa zina pata moto lakini aliweza kumaliza wa kwanza...Dereva wa Red Bull Ricciardo alimaliza wa 6 pamoja na engine yake kulipuka mwishoni...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: CHELSEA YAZIDI KUSONGA MBELE


Chelsea imezidi kujisogeza karibu na ubingwa kwa ushindi dhini ya Manchester United jana...Game ilikuwa kali na Manchester walijithidi sana lakini Chelsea walihitaji bao 1 tu na points 3 kuwaweka points 10 mbele ya Arsenal ambao wako nafasi ya 2...


Boss wa Chelsea, Jose Mourinho, anawatania Man U eti wachezji wote wazuri wa Man wako mfukoni kwa Chelsea...Pamoja na Man U kuwa na mpira muda mwingi na chances nyingi bado gale ilikuwa ya Cheelsea...Bofya hapa upate habari zaidi.



Saturday, 18 April 2015

MONTE CARLO MASTERS 2015: DJOKOVIC KUKUTANA NA RAFA NUSU FAINALI


Bingwa wa dunia Novak Djokovic atakutana na Rafael Nadal kwenye nusu fainali ya michuano mikali ya Monte Carlo Masters...Djokovic limchapa bingwa wa US Open Marin Cilic 6-0 6-3 na alitumia dakika 63 tu kumaliza gamee...Nadal alipata shida kidogo kumchapa David Ferrer na alishinda 6-4 5-7 6-2 na mechi ilikuwa ya masaa 2 na dakika 45...Nadal amewahi kushinda mara 8 hapo Monte Carlo...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 16 April 2015

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA (GMT)

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Chelsea313873
No movement2Arsenal323166
No movement3Man Utd322965
No movement4Man City323161
No movement5Liverpool321157
No movement6Southampton322256
No movement7Tottenham32454
No movement8Swansea32-247
No movement9West Ham32243
No movement10Stoke32-443
No movement11Crystal Palace32-142
No movement12Everton32-338
No movement13Newcastle32-1835
No movement14West Brom32-1633
No movement15Aston Villa33-2132
No movement16Sunderland32-2329
No movement17Hull32-1628
No movement18QPR33-2126
No movement19Burnley32-2426
No movement20Leicester31-1925