Wednesday, 26 November 2014

CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA YAIRARUA SHALKE


Roberto Di Matteo hatasahau usiku wa jana kwani Chelsea waliigaragaza timu yake ya FC Shalke 04 kwanza kwa kufunga goli ndani ya sekunde 86 tu na pili kwa kuwapachika mabao 5-0...


Goli la John Terry la kichwa la sekunde 86 lilikuwa goli la 'chap chap' kuliko magoli yote kwa Chelsea katika Champions League na baada ya hapo Willian alipachika bao dakika ya 29...Shalke walijifungaa dakika ya 44 na Chelsea wakaingia mapumziko na mabao 3...


Drogba alifanya kazi ya ziada na dakika ya 79 alipata bao na dadae alimsaidia Ramires kupachika la 5...Bofya hapa upate habari zaidi.

CHAMPIONS LEAGUE: MESSI AWEKA REKODI


Lionel Messi anguruma tena bada ya kuwa mfungaji bora katika Champions League...Messi sasa ana magoli 74 amempita mchezaji aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo Raul ambae alikuwa na magoli 71...Messi alifanikiwa kuwa mchezaji bora baada ya kupata hat-trick kwenye gaame dhidi ya Apoel Nic huko Cyprus ambapo Barca waliibuka na ushindi wa 0-4...Mwaka huu Messi kaifungia Barca magoli 17 katika mashindano yote...Hebu cheki rekodi za Messi hapo chini huyu dogo ni hatari sana...Hongera #Messi...

Messi's records

Champions League top scorer:74
La Liga top scorer: 253
Barcelona's top goalscorer: 368
Most goals in a La Liga season: 50
Most goals in a season: 73
Most consecutive La Liga matches scored in: 21
Most Ballon d'Or titles: 4
Most goals in a single European Cup game: 5 (joint with Luiz Adriano)
Most European Cup top scorer awards: 4 (with Gerd Muller)
Most goals in Clasicos: 21
Most La Liga hat-tricks in a season: 8
Most goals in Club World Cup: 4 (held jointly with Denilson)
Most goals in a calendar year: 91

Bofya hapa upate habari zaidi.

CHAMPIONS LEAGUE: YESTERDAY'S RESULTS

Tuesday, 25 November 2014

COPA AMERICA 2015: BRAZIL KUKUTANA NA COLOMBIA


Draw ya Copa America imewakutanisha Colombia na Brazil kwenye Group C pamoja na Peru na Venezuela...Argentina na Uruguay wako na Jamaica na Paraguay kwenye Group B...Group A wako Chile, Ecuador, Bolivia na Mexico...Michuano hiyo mikali sana ya Marekani ya Kusini itaanza rasmi Alhamis June 11 huko Santiago...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 24 November 2014

LA LIGA: MESSI MFUNGAJI BORA KULIKO WOTE KATIKA HISTORIA YA LA LIGA


Lionel Messi amekuwa mfungaji bora kuliko wote katika historia ya La Liga...Messi alifanya kweli kwenye game dhidi ya Sevilla ambapo alipata hat-trick na waliondoka na ushindi wa 5-1...


Messi sasa anamagoli 253 zaidi ya kifaa cha zamani cha Atletico Bilbao Telmo Zarra...


Uwanja wa Camp Nou ulilipuka ilivyotangazwa Messi ameweka rekodi na baada ya hapo Messi alirushwarushwa juu na wachezaji wenzake huku uwanja ukiita jina lake...Bofya hapa upate habari zaidi.


F1: LEWIS HAMILTON BINGWA WA DUNIA


Lewis Hamilton amenyakua ubingwa wa mashindano ya magari ya Formula One au kwa kifupi F1 huko Abu Dhabi akiwa na team Mercedes...Hii ni mara ya 2 sasa Hamilton anachukua ubingwa wa dunia wa F1 mara ya 1 alichukua ubingwa mwaka 2008 akiwa na team McLaren...


Huko Abi Dhabi Hamilton alianza vizuri kona ya kwanza na toka hapo hakupunguza mwendo mpaka aliposhinda na pia dereva mwenzake Nico Rosberg aliyekuwa anamfukuzia alipata matatizo na gari yake...


Hamilton alisema ushindi huu ni ushindi muhimu sana katika maisha yake...Prince Harry wa Uingereza alikuwepo kushuhudia Lewis akinyakua ubingwa pamoja na baba mzazi na mchumba wa Hamilton Nicole Sherzinger...


Hongera sana Hamilton kwa kuwa bingwa wa dunia mwaka huu kutoka kwa Max Sports na wadau...Bofya hapa upate habari zaidi.


Sunday, 23 November 2014

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Chelsea121932
No movement2Southampton111825
No movement3Man City121124
No movement4Man Utd12419
No movement5Newcastle12-119
No movement6West Ham12418
No movement7Swansea12318
No movement8Arsenal12517
No movement9Everton12317
Moving up10Tottenham12-117
Moving down11Stoke12-215
Moving down12Liverpool12-314
No movement13West Brom12-413
No movement14Sunderland12-713
Moving up15Crystal Palace12-412
Moving down16Hull12-311
Moving down17Aston Villa11-1111
Moving down18Leicester12-710
Moving down19Burnley12-1210
No movement20QPR12-128

VPL: YANGA WAPATA DEFENSIVE MIDFIEDER


Wazee wa Jangwani wamepata defensive midfielder mpya baada ya Jaja kutimka kutokana na issue za kifamilia...Jaja hakuweza kuwika kwani kati ya mechi 7 za Vodacom Premier League amepachika bao moja tu...Emerson De oliviera Neves Rouqe mwenye umri wa miaka 24 anatarajiwa kutia timu Jumanne na afayiwe uchunguzi wa afya tayari kuisaidia Yanga...Dogo huyu anatokea timu ya daraja la 2 huko Brazil ya Bonsucesso...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: YESTERDAY'S RESULTS

BOXING: MANNY PACQUIAO AMTWANGA ALGIERI NA KUBAKI NA MKANDA WA WBO


Bingwa wa WBO welterweight Manny Pacquiao amemchapa mmarekani Chris Algieri huko Macau...Pac-Man alimpeleka chini Algieri mara 6 katika round 12 za mpambano na ni mara ya 1 Agieri anachapwa...Pac anamkono mkali sana wa kushoto ambao aliutuia vizuri kumwek chini Algieri...Kati ya mapambano 64 Pac ameshinda 57...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: ARSENAL YACHEZA VIZURI LAKINI YACHAPWA


Arsenal jana ilicheza mpira wa ukweli kwa kuwakimbiza sana Manchester United lakini walichapwa 2-1...Goli la kwanza la bure United walipewa na Gibbs dakika ya 56 na baada ya hapo Rooney alifanikiwa kufunga dakika ya 85 na kuwa shot ya kwanza la kuelekea golini...Kipa wa United aliwaokoa sana maana magoli ya Arsenal yangekuwa mengi...Manchester United walipata ushindi wa kwanza katika mechi za nje toka msimu uanze...Sasa Manchester United wamekaa nafasi ya 4...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 22 November 2014

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No Movement1Chelsea111729
No Movement2Southampton111825
No Movement3Man City111021
No Movement4West Ham11518
No Movement5Swansea11418
No Movement6Arsenal11617
No Movement7Man Utd11316
No Movement8Newcastle11-216
No Movement9Stoke11-115
No Movement10Everton11214
No Movement11Liverpool11-114
No Movement12Tottenham11-214
No Movement13West Brom11-213
No Movement14Sunderland11-712
No Movement15Hull11-211
No Movement16Aston Villa11-1111
No Movement17Crystal Palace11-69
No Movement18Leicester11-79
No Movement19QPR11-118
No Movement20Burnley11-137