Tuesday 8 November 2016

AZAM FC: MWENYEKITI WA AZAM FC AFAKIRI DUNIA


Mwenyekiti wa Azam FC, Said "Mzee Said" Mohamed amefariki dunia...Mzee Said atazikwa leo saa 10:00 Alasiri katika makaburi ya kisutu jiji Dae es Salaam...Mzee Said alifariki kutokana na ugonjwa wa shinikizo la damu na ugonjwa figo katika hospitali ya Agha Khan...




Habari hizi alizitoa Makamu Mwenyekiti wa Azam FC ndugu Idrissa Nassor...Nassor amesema shughuli zote za kumwaga marehemu zitafanyika msikiti wa Maamur uliopo Upanga jijini Dar es Salaam kisha kuzikwa kwenye makaburi ya Kisutu...



Mzee Said alikuwa meneja kampuni ya Salim Said Bhakresa na pia alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Azam FC na Mwenyekiti wa Azam FC hadi mauti yalipomfika. Pumzika kwa amani Mzee Said.

No comments:

Post a Comment