LeBron James amewika tena kwa kuweka rekodi mpya NBA ya kuwa mchezaji wa kwanza kijana kufikia points 25,000...Alifikia rekodi hiyo akicheza dhidi ya Philadelphia 76ers na walishinda hiyo mechi 107-100...James mwenye miaka 30 na siku 307 amempiku star Kobe Bryant ambae alifikia points 25,000 akiwa na miaka 31 na siku 151...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 3 November 2015
NBA: LEBRON JAMES AWEKA REKODI YA KUWA MCHEZAJI KIJANA KUFIKIA POINTS 25,000
LeBron James amewika tena kwa kuweka rekodi mpya NBA ya kuwa mchezaji wa kwanza kijana kufikia points 25,000...Alifikia rekodi hiyo akicheza dhidi ya Philadelphia 76ers na walishinda hiyo mechi 107-100...James mwenye miaka 30 na siku 307 amempiku star Kobe Bryant ambae alifikia points 25,000 akiwa na miaka 31 na siku 151...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment