Cristiano Ronaldo kabla ya half-time aliibuka na hat-trick na kuishia na mabao 5 mwisho wa game dhidi ya Granada ndani ya Bernabeu...Ronaldo ambae ni mchezaji bora wa dunia alifunga mabao 3 ndani ya dakika 9...Bao la kwanza lilitoka kwa Gareth Bale dakika ya 25 na Ronaldo dakika ya 30, 36, 38, 54 na 89...Mabao mengine yalitoka kwa Karim Benzema dakika ya 52 na 56 pia own goal kutoka kwa Maiz...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 5 April 2015
LA LIGA: CRISTIANO RONALDO APATA MABAO 5 KATI YA MABAO 9
Cristiano Ronaldo kabla ya half-time aliibuka na hat-trick na kuishia na mabao 5 mwisho wa game dhidi ya Granada ndani ya Bernabeu...Ronaldo ambae ni mchezaji bora wa dunia alifunga mabao 3 ndani ya dakika 9...Bao la kwanza lilitoka kwa Gareth Bale dakika ya 25 na Ronaldo dakika ya 30, 36, 38, 54 na 89...Mabao mengine yalitoka kwa Karim Benzema dakika ya 52 na 56 pia own goal kutoka kwa Maiz...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment