Radamel Falcao Colombian international kutoka Monaco ameamua kukubali dili la Manchester United la pound laki 2 kwa wiki...Falcao atakuwa Manchester kwa mkopo wa msimu mzima ambao umegharimu pound milioni 12...Arsenal na Manchestr City walikuwa wanamtaka lakini Manchester wamefnikiwa kumyakua...Usajili unafungwa leo usiku na timu nyingi zilikuwa na pilika za kujazia na kuimarisha vikosi vyao...Bofya haa upate habari zaidi.
Monday, 1 September 2014
EPL: FALCAO AIKWEPA ARSENAL NA MAN CITY NA KUTUA MAN UNITED
Radamel Falcao Colombian international kutoka Monaco ameamua kukubali dili la Manchester United la pound laki 2 kwa wiki...Falcao atakuwa Manchester kwa mkopo wa msimu mzima ambao umegharimu pound milioni 12...Arsenal na Manchestr City walikuwa wanamtaka lakini Manchester wamefnikiwa kumyakua...Usajili unafungwa leo usiku na timu nyingi zilikuwa na pilika za kujazia na kuimarisha vikosi vyao...Bofya haa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment