Azam FC inaendelea vizuri na michuano ya Kagame na sasa itaingia uwanjani na timu ya Sudan El Merreikh kwenye robo fainali ya michuano hiyo...Azam FC iliigaragaza Adama City ya Ethiopia mabao 4-1 katika game yao ya mwisho ya Group A...Azam ni wa pili kwenye group yao na pia El Merreikh ni wa pili kwenye Group C...Mabingwa watetezi Vital'O kutoka Burundu wamefungasha virago tayari kwa safari ya kurudi kwao...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 20 August 2014
KAGAME CUP: AZAM KUPAMBANA NA EL MEREEIKH ROBO FAINALI
Azam FC inaendelea vizuri na michuano ya Kagame na sasa itaingia uwanjani na timu ya Sudan El Merreikh kwenye robo fainali ya michuano hiyo...Azam FC iliigaragaza Adama City ya Ethiopia mabao 4-1 katika game yao ya mwisho ya Group A...Azam ni wa pili kwenye group yao na pia El Merreikh ni wa pili kwenye Group C...Mabingwa watetezi Vital'O kutoka Burundu wamefungasha virago tayari kwa safari ya kurudi kwao...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment