Manchester United imeendelea wimbi la kuchapwa msimu huu wakati Stoke city ilipoichapa 2-1 Manchester united jana usiku...Charlie Adams aliipatia goli la ushindi Stoke na kuvunja rekodi ya kutowafunga Man u toka 1984...Pamoja na Juan Mata kuanza, Rooney na Van Persie wote walishindwa kuibuka kidedea....Ni mara moja tu man U walijaribu lango la Stoke wakati wa free-kick ya Rooney...Sasa Moyez amechapwa mara 8 kati ya game 24...Bofya hapa upate habari zaidi..
Sunday, 2 February 2014
EPL: STOKE YAIZAMISHA MAN U
Manchester United imeendelea wimbi la kuchapwa msimu huu wakati Stoke city ilipoichapa 2-1 Manchester united jana usiku...Charlie Adams aliipatia goli la ushindi Stoke na kuvunja rekodi ya kutowafunga Man u toka 1984...Pamoja na Juan Mata kuanza, Rooney na Van Persie wote walishindwa kuibuka kidedea....Ni mara moja tu man U walijaribu lango la Stoke wakati wa free-kick ya Rooney...Sasa Moyez amechapwa mara 8 kati ya game 24...Bofya hapa upate habari zaidi..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment