Saturday, 1 July 2017

YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB: TAMBWE ATIA SAINI MIAKA MIWILI ZAIDI NDANI YA YANGA


Forward hatari wa Young Africans Amissi Tambwe amesaini mkataba na timu ya Yanga akiongeza miaka miwili Jangwani...
Habari hizo ni njema kwa mashabiki wa timu ya Yanga na wadau wa Yanga kwani Tambwe amekua msaada mkubwa sana katika kufanikisha Yanga kuchukua ubingwa...

Tambwe ametia saini baada ya mshambuliaji mwingine wa kimataifa kutoka Zimbabwe Donald Dombo Ngoma kutia saini mkataba wa miaka miwili na Yanga...