Sunday, 2 July 2017

BOXING: MTANZANIA IBRAHIM KING CLASS ANYAKUA MKANDA WA GBC LIGHTWEIGHT WORLD CHAMPIONSHIP


Tanzania imefanikiwa kupata ubingwa wa dunia wa light middleweight baada ya Ibrahim Class Mgende au maafuru sana kwa jina la King Class Mawe kumtandika Jose Forero anayetokea Panama...
Ibrahim alishinda kwa unanimous decision na kutangwazwa bingwa wa dunia wa light middleweight...


Ni jambo jema Tanzania kujivunia kwani Ibrahim aeleta heshima kwenye fani ya ndodi na michezo kwa ujumla...

Tanzania inavipaji vingi sana tatizo ni kuvitafuta vipaji hivyo na kuwasaidia wafahamike na dunia...

Hongera sana Ibrahim kwa ushindi huu mkubwa na tunaarajia kuona mafanikio zaidi...