Sunday, 25 June 2017

VICTOR WANYAMA: NYOTA WA TOTTENHAM HOTSPUR VICTOR WANYAMA APEWA MTAA DAR ES SALAAM


Nahodha wa timu ya Taifa ya Kenys na nyota wa timu ya Tottenham Hotspur ya jijini London Victor Wanyama mepewa heshima kubwa nchini Tanzania kwa kupewa mtaa...
Wanyama alikuwa Tanzania kwa wiki 1 ya mapumziko aiwa amemaliza msimu wa ligi huko Uingereza...


Wanyama alipewa mtaa huko Ubungo ambao ulaelekea Uwanja wa Kinesi...


Wanyama ametoka kutunukiwa huko nyumbani kwao Kenya ambapo amepewa tuzo ya mwanamichezo mwenye ushawishi mkubwa nchini humo...Tuzo hizo zinaitwa SOMA au Annual Kenya Social Media Awards...


Wiki hii pia wachezaji wengine wawili wanaochezea ligi za Ulaya, Mamadou Sakho na Morgan Schneiderlin, pia walikuwa Tanzania kwenye ziara ya mapumziko