Thursday, 29 June 2017

TAKUKURU: RAIS WA TFF JAMAL MALINZI NA KATIBU WAKE MWESIGWA SELESTINE WASHIKILIWA NA TAKUKURU KWA TUHUMA ZA RUSHWARaisi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, na Katibu wake, Mwesigwa Selestine, wako chini ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU - PCCB)...
PCCB waliwashilikilia wadau hao wawili wa TFF kwa tuhuma hizo na leo waketataliwa kuruhusiwa kwenda kwenye udahili wa Uchaguzi wa TFF leo...Udahili huo utamalizika kesho na kwa mantiki hiyo Malinzi atakosa kutetea kiti chake kwenye uchaguzi ujao...

Uchaguzi wa TFF utafanyika Agosti 12 jijini Dodoma...

Katika habari nyingine Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Geofrey 'Kaburu' Nyange nae ameshikiliwa na TAKUKURU pamoja na Rais wa Simba Evans Aveva kutokana na dili la Okwi...

Habari zaidi kukujia kupitia Max Sports...