Wednesday, 24 May 2017

YOUNG AFRICANS: YUSUF MANJI A NG'ATUKA


Rais wa Young Africans (Yanga) Yusuf Manji Manji ameamua kuachia ngazi...
Uamuzi wake umechukulinwa kwa mitazamo tofauti kutoka kwa mashabiki na wadau wengi...Kutokana na maelezo yaliyosambazwa kwenye vyombo vya habari Manji alisema "Ni taafira yangu na inajieleza... Baada ya miaka 11 Manji amemwachia Clement Sanga ambae ni Makamu Mwenyekiti... Sanga atakaimu nafasi hiyo ya Manji...Manji aliingia Yanga mwaka 2006 na kuifadhili kulitia kampunibyake ya Lotto Kitita...