Friday, 26 May 2017

YOUNG AFRICANS: RAIS WA FIFA GIANNI INFANTINO AIPONGEZA


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA Gianni Infantino ameipongeza Young Africans (Yanga) kwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
Yanga wamenyakua ubingwa mara ya 3 mfululizo...

Ujumbe wa Infantino ulipitia kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...


Alisema kwenye ujumbe huo alisema Yanga ni kielelezo tosha kuwa ushirikiano mzuri uko kati ya wachezaji, uongozi,  matibabu,  makocha na mashabiki.