Monday, 8 May 2017

VPL: SIMBA YASOGEA KARIBU NA KOMBE BAADA YA KUILAZA AFRICAN LYON 2-1Simba Sports Club imerudi tena kileleni baada ya kuilaza African Lyon 2-1 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...


Simba sasa wana ointi 62 ndani ya mechi 28 walizocheza...

Mabao ya Simba yalitokana na mchezaji Ibrahim Haji kupokea mpira kutoka kwa Muzamil Yassin na kuchapa shuti kali mnamo dakika ya 38 na ushee hivi na pia beki wa Lyon Hamad Waziri kujifunga.