Thursday, 25 May 2017

VPL: MCHEZAJI WA MAARUFU WA ZAMANI KIMATAIFA ABEID MZIBA ASHUHUDIA MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI MBARAKA YUSUF ABEID AKIPOKEA TUZOMchezaji mashuhuri sana na wakimataifa Abeid Mziba alikuwepo kushuhudia tuzo ambayo alipewa mchezaji bora chipukizi Mbaraka Yusuf Abeid...


Katika sherehe hizi za kuwazawadia waliofanya vizuri msimu ulioisha hivi karibuni Mohammed 'Tshabalala' Hussein ameibuka kuwa mchezaji bora Vodacom Premier League...

Hussein ni winga wa kushoto hatari wa klabu ya Simba...


Simon Msuva  Abdulrahman Mussa wamechukua tuzo ya mfungaji bora...

Aishi Manula amenyakua tuzo ya kipa bora na alikabidhiwa na kipa maarufu sana wa zamani Steven Nemes na Meki Mexime kocha kijana amekuwa kocha bora.