Sunday, 28 May 2017

SIMBA SPORTS CLUB: NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE APATA AJALI MBAYA DUMILA SHABIKI MMOJA AFARIKI DUNIAHabari kutoka maeneo ya Dumila sio nzuri kwani Simba Sports Club imepoteza shabiki wake maarufu kwenye ajali ya gari...
Kwenye ajali hiyo alukuwemo nahodha na kiungo wa Simba Jonas Mkude... 


Mkude hali yake iko salama na majeruhi wengine walikimbizwa hospitali... 

Shabiki aliyefariki alikuwa anajulikana kwa jina la Shose Fiderine...Dereva ambae abajulikana kwa jina la Rais wa Kibamba ameumia pamoja na mtu anayeitwa Jasmine... 


Chanzo cha ajali ni kutokana na tairi la nyuma kuplasuka na gari kukosa mwelekeo...

Wachezaji na mashabiki wa Simba walikuwa wanarudi Dar es Salaam wakitokea Dodoma baada ya ushindi wa Kombe la Shirikisho...Simba waliwachapa Mbao FC mabao 2-1