Monday, 8 May 2017

MBWANA SAMATTA: NAHODHA WAA TAIFA STARS AENDELEA KUWIKA ULAYA


Mbwana Samatta anaendelea kutuwakilisha vyema kwenye soka la kulipwa Ulaya baada ya kupata bao safi la akili jana usiku...


Timu ya Samatta ya K.R. C. Genk jana ilishinda mechi dhidi ya KAS Eupen 2-1 ndani ya Uwanja wa Luminus...


Bao la 2 alifunga Samatta mnamo dakika ya 28...Genk wako kundi B katika michuano ya UEFA Europa League...

Genk wanaongoza hilo kundi wakiwa na pointi 19...


Samatta sasa anamabao 19 toka ajiunge na Genk huku amecheza jumla ya mechi 56.