Friday, 5 May 2017

HIMIDI MAO MKAMI: KIFAA CHA AZAM FC KIKO DENMARK KUJABIBU BAHATI YAKE


Himidi Mao Mkami yuko Denmark akijaribu bahati yake kwenye ulingo wa soka la kulipwa la Ulaya...


Kiungo huyo wa Wana lamba lamba Azam FC anafanya majaribio na timu ya Ligi Kuu ya Denmark inayoitwa Rangers FC...

Rangers walikuwa wanamtolea macho sana Mkami ndipo wakaamua kuualika kwa majaribio.