Tuesday, 2 May 2017

AZAM SPORTS FEDERATION CUP: FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO NI MEI 28 LAKINI UWANJA BADO KUCHAGULIWA


Fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF au Azam Sports Federation Cup itafanyika Mei 28...
Fainali hiyo itakuwa kati ya Simba Sports Club na Mbao FC...

Rais wa TFF Jamal Malinzi amesema ni mara ya kwanza timu ya nje ya Dar es Salaam inacheza fainali ya kombe hilo...

Itafanyika 'draw' ya kuchagua uwanja ambao mechi hiyo itafanyika.