Saturday, 8 April 2017

YOUNG AFRICANS (YANGA): YANGA WAMLAZA MWAARABU 1-0


Yanga imefaniliwa kuwalaza MC Algers ya Algeria 1-0 ndani ya Uwanja wa Taifa leo...

Thabani Scara Kamusoko ndio aliyefunga bao hilo pekee huku makundi yakinukia...Bao hilo lilipikwa na Niyonzima ambae aliuvusha mpira ukamfikia Obrey Chirwa na hatimae Chirwa kumtupia rasta Kamusoko ambaye dakika ya 61 alitingisha nyavu...

Yanga inahitaji draw tu katika marudiano ili kuingia makundi Kombenla Shirikisho.