Saturday, 15 April 2017

VODACOM PREMIER LEAGUE: SIMBA YASHIKWA SHATI NA TOTO AFRICANS JIJINI MWANZA


Kasi ya Simba imepongua leo baada ya kushikwa shati na Toto Africans huko Mwanza leo...


Mpira ulimalizika kwa sare ya 0-0 ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza...

Simba sasa wamefikisha pointi 62 baada ya kuachiwa pointi zao 3 ambazo walipewa baada ya madai Mohammed Fakhi kucheza akiwa na kadi 3 za njano baada a kufungwa na na Kagera Sugar 2-1...

Simba bado wanaongoza kwa pointi 6 huku Yanga wakiwa na michezo miwili mkononi.