Thursday, 27 April 2017

HISTORIA: ZAMOYONI 'GOLDEN BOY' MOGELLA ENZI ZAKE


Mchezaji wa zamani wa Simba Sports Club, Zamoyoni Mogella, mwenye shati ya Puma akisakata kabumbu dhidi ya watani wake Young Africans wenye jezi za Bobby Soap...

Mechi hii ilikuwa kitabo kidogo mwaka 1985...

Hapo Golden Boy anataka kumtoka Muhidini Cheupe na hapo kati ni Yusuf Bana...

Ilikuwa mechi kali sana ambayo ilikuwa na utata kiaina...

Kwa wadau wanaokumbuka hii mechi tukumbusheni zaidi.