Sunday, 30 April 2017

AZAM SPORTS FEDERATION CUP: MVUA YANYESHA DAR ES SALAAM HUKU SIMBA KINGURUMA


Simba Sports Club imefanikiwa kuwafunga Azam FC bao 1 huku mvua ikiwwa imetanda jiji zima...

Mvua ikinyesha huashiria ushindi wa Simba kwa miaka mingi na leo imetokea hivyo hivyo...

Simba sasa imetinga fainali ya kombe la Shirikisho la TFF...


Bao pekee lilipatikana mnamo dakika ya 48 kupitia Mohammed 'Mo' Ibrahim ndani ya Uwanja wa Taifa...