Monday, 6 March 2017

VODACOM PREMIER LEAGUE: YANGA YASIMAMISHWA NA MTIBWA SUGAR


Young Africans (Yanga) imeshikwa shati na Mtibwa Sugar huko Morogoro...
Yanga ilitoka sare ya bila kufungana na Mtibwa Sugar na kuipa Yanga pointi 1 ambayo inawapa jumla ya pointi 53 sasa...Mtibwa Sugar ni timu ngumu kwa Yanga na kati ya mechi ngumu zilizobakia za Yanga...Nao wahasimu wao Simba Sports Club walishikwa shati na Mbeya City baada ya kutoka sare ya 2-2...

Yanga ilikuwa washinde hiyo mechi baada ya kupewa penalti mnamo dakika ya 34 lakini mambo hayakuwa mambo kwani Simon Msuva alisindwa kuingiza mpira wavuni...

Mechi nyingine iliyochezwa ni kati ya African Lyon na Mwadui FC...Mwadui FC walichapwa 1-0...