Wednesday 3 February 2016

BOXING: AMIR KHAN KUZICHAPA NA CANELO ALVAREZ MAY 7



Amir Khan ameibuka tena baada ya kukosa nafasi ya kutwangana na Floyd Mayweather na sasa anakibarua kizito sana cha kumchapa Saul 'Canelo' Alvarez.


Pambano hilo litafanyika mwezi wa 5 tarehe 7.

Pambano hilo linahusu sana mkanda wa WBC Middleweight ambao ndio Khan anautafuta sema Khan hajapata pambano kali toka amchape kwa points Chris Algieri.

Pambano litafanyika katka ukumbi mpya wa T-Mobile ambao ni wa MGM Grand.

Canelo alewahi kuchapwa mara 1 tu na alichapwa na bingwa mstaafu Floyd Mayweather.

Canelo alimchapa Miguel Cotto mwezi wa 11 na kuchukua taji la dunia...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment