Tuesday 17 March 2015

GOLF: JORDAN SPIETH ASHINDA VALSPAR CHAMPIONSHIP BAADA YA PLAY-OFF


Baada ya wachezaji wa 3 kumaliza kwa score sawa ya -10 (stroke 10 zaidi ya kiwango kinachotakiwa) play-off ilibidi ifanyike kupata mshindi na Jordan Spieth aliibuka na ushindi...Wengine waliocheza play-off ni wamarekani wenzake Patrick Reed na Sean O'hair...Spieth mwenye umri wa miaka 21 amekuwa mtu wa 4 ndani ya miaka 70 kushinda masindano ya PGA mara 2 akiwa na umri chini ya miaka 22...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment